Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mayele aibuka kinara Goli Bora la Wiki CAFCC

Mayele390 Fiston Mayele

Thu, 23 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao la mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele dhidi ya US Monastir alilofunga dakika ya 59' kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam limekuwa Bao Bora kwenye Kombe la Shirikisho Afrika katika mechi za mzunguko wa tano.

Bao la mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele dhidi ya US Monastir alilofunga dakika ya 59' kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam limekuwa Bao Bora kwenye Kombe la Shirikisho Afrika katika mechi za mzunguko wa tano. Bao la Mayele lilikuwa la pili katika ushindi wa bao 2-0 walioupata Yanga na hatimaye kukata tiketi ya kufuzu kwa hatua ya Robo Fainali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live