Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mayele aendelea kutetema Pyramids, atupia bao 2

Mayele Atetema Pyramids Fiston Mayele amefunga mabao mawili mchezo wa leo

Fri, 27 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Young Africans Fiston Kalala Mayele leo amefunga katika mchezo wake wa tano (5) wa ligi kuu nchini Misri akiwa na kikosi cha Pyramids.

Pyramids hii leo imeibuka na ushindi wa goli 3-2 dhidi ya Al Masry, na magoli mawili kati ya matatu yamefungwa na Fiston Kalala Mayele.

Mayele sasa anafikisha magoli matatu (3) kwenye mechi tano (5) za ligi hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live