Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mayele acharuka ukame wa mabao Pyramids, atoa neno hili (+Video)

Video Archive
Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kucheza michezo mitatu ya Ligi na miwili ya Ligi ya Mabingwa pasipo kufunga bao lolote.

Aliekuwa Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele ametoa neno kwa wale wote wanaomsema kuhusiana na kuanza kwake na ukame wa mabao katika Klabu ya Pyramid FC.

Sikiliza Video kusikia alichosema Mayele kwa wale wote wanaomuombea mabaya na kumsema vibaya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: