Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mayele aachwa Timu ya Taifa DR Congo

Fiston Mayele DR Congo Fiston Mayele

Tue, 17 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wachezaji watatu wa timu ya Taifa ya Congo hawajasafiri kwenda nchini ureno kwaajili ya mechi ya kirafiki dhidi ya Angola hapo kesho kutokana na visa zao kutowaruhusu kuingia nchini humo.

Wachezaji watatu wa timu ya Taifa ya Congo hawajasafiri kwenda nchini ureno kwaajili ya mechi ya kirafiki dhidi ya Angola hapo kesho kutokana na visa zao kutowaruhusu kuingia nchini humo. Wachezaji hao ni Fiston Mayele, Ben Malango, Baggio Siadi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live