Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mayele, Inonga waanza kazi Congo

Mayele X Inonga Fiston Mayele na Henock Inonga

Tue, 21 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa kati wa klabu ya Simba Sc Henock Inonga Baka na Mshambuliaji wa Young Africans Fiston Kalala Mayele tayari wameanza majukumu katika timu yao ya Taifa ya DR Congo.

Mlinzi wa kati wa klabu ya Simba Sc Henock Inonga Baka na Mshambuliaji wa Young Africans Fiston Kalala Mayele tayari wameanza majukumu katika timu yao ya Taifa ya DR Congo. Timu ya Taifa inajiandaa na mechi za kufuzu AFCON 2023 dhidi ya Timu ya Taifa ya Mauritania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live