Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maxime kocha mpya Kagera

Meck Mexime.png Kocha Mecky Maxime

Sun, 30 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Kagera Sugar imetangaza kuingia mkataba na kocha Mecky Maxime kurithi mikoba ya kocha Francis Baraza ambaye waliachana nae hivi karibuni.

Klabu ya Kagera Sugar imetangaza kuingia mkataba na kocha Mecky Maxime kurithi mikoba ya kocha Francis Baraza ambaye waliachana nae hivi karibuni. Kwa mujibu wa taarifa ya Kagera Sugar ni kwamba Maxime atahudumu hapo kama kocha mkuu hadi mwisho wa msimu huu wa 2022/2023 wa NBC Premier League.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live