Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maxime akabidhiwa tunzo ya kocha bora wa mwezi

Mexime Rt Maxime akabidhiwa tunzo ya kocha bora wa mwezi

Fri, 10 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa klabu ya Kagera Sugar Mecky Maxime amekabidhiwa tuzo na zawadi ya kocha bora wa mwezi Februari, 2023 baada ya kuwa na mwezi mzuri akiiongoza Kagera Sugar kushinda mechi 2 na sare moja bila kupoteza mchezo.

Kocha wa klabu ya Kagera Sugar Mecky Maxime amekabidhiwa tuzo na zawadi ya kocha bora wa mwezi Februari, 2023 baada ya kuwa na mwezi mzuri akiiongoza Kagera Sugar kushinda mechi 2 na sare moja bila kupoteza mchezo. Tuzo hiyo imekabidhiwa na Mkuu wa kitengo cha huduma kwa wateja kutoka Benki ya NBC Salama Mussa katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliomalizika kwa kichapo cha 2-0 kwa Wanankurukumbi ugenini dhidi ya KMC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live