Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maxi Mpia hivi unamjua ama unamsikia?

Maxi Mpia Nzengeli Kiungo wa Yanga, Maxi Mpia Nzengeli

Thu, 2 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kitu gani uwanjani asichoweza kufanya? kiungo wa Yanga Max Mpia Nzengeli!.

Niliwahi kusema kuwa amevuka uhitaji wa kupewa maelekezo ya kiufundi kwa mara ya kwanza tu nilipomuona akiwa na uzi wa Young Africans.

Nini asichoweza kufanya? Max Mpia Nzengeli ni aina ya mchezaji anaeachwa afanye kile anachotaka kulingana na mazingira yanayomkabili uwanjani.

Kwa kifupi unaweza kumdadavua kama Complete player...Simple!

Awapo Uwanjani anakuhakikishia usahihi kwa kila analofanya na tayari ameshatengeneza ufalme wake mitaa ya Jangwani.

Unamzungumziaje Maxi Mpia Nzengeli? Tupe maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: