Thu, 6 Jul 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mabosi wa Inter Miami wamethibitisha kuwa kwenye mazungumzo na baadhi ya wachezaji wa zamani wa Barcelona wakiwamo Jordi Alba na Luis Suarez ikiwa ni baada ya kufanikisha mchakato wa kuwasajili Lionel Messi na Sergio Busquets.
Mabosi wa Inter Miami wamethibitisha kuwa kwenye mazungumzo na baadhi ya wachezaji wa zamani wa Barcelona wakiwamo Jordi Alba na Luis Suarez ikiwa ni baada ya kufanikisha mchakato wa kuwasajili Lionel Messi na Sergio Busquets. Licha ya kwamba umri wao umewatupa mkono, Inter Miami inaamini mastaa hao watakweenda kuisaidia timu. Suarez kwa sasa yupo Gremio.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live