Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mauritania yaiombe Al Hilal ikashiriki Ligi yao

Al Hilal Omduran Sudan.jpeg Mauritania yaiombe Al Hilal ikashiriki Ligi yao

Mon, 20 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la Soka la Mauritania limefahamisha Al Hilal kwamba ikiwa wataamua kwenda kucheza ligi yao, watafurahia yafuatayo:

Matokeo ya mechi yatahesabiwa rasmi. Yaani watacheza kupigania ubingwa wa ligi kuwapa bonasi za mapato zinazolingana.

Faida ya mapato ya utangazaji asilimia ya mauzo ya tikiti za mechi kusaidia kuhamasisha uungwaji mkono na mashabiki dhabiti wa kampeni zao barani Afrika.

Al Hilal msimamo wao ni ule ule kucheza ligi kuu Tanzania pamoja na kwamba akutakuwpo na bonasi wala pointi zao kuhesabiwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live