Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maulid Kitenge na Manara wamepatana

Maxresdefault 69 660x400 Maulid Kitenge na Manara wamepatana

Thu, 11 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Msemaji wa Simba SC Haji Manara na Mtangazaji Maulid Kitenge wamemaliza tofauti zao zilizotokea hivi karibuni, wote kwa pamoja wamethibitisha kumaliza tofauti hizo wakisimamiwa na Baba wa Hajis, Mzee Sunday Manara.

“Sehemu yoyote ile yenye Wazee basi huwa mambo yanaenda sawasawa na hii yote ni kwasababu wao ndio Walimu wetu wakuu hasa katika maadili, Wazee wetu wameona si jambo jema vijana wao tukosane tena hadharani wakae kimya” Kitenge.

“Leo kimefanyika kikao kizuri chini ya Baba yetu Sunday Manara na Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu na sasa najisikia amani kusema kwamba kikao kimefanikiwa kuzikata “TOFAUTI ZETU”, tumerudi kuwa marafiki wazuri kama ilivyokuwa zaman” KitengeGONDWE MGUU KWA MGUU KEKO BARABARA IMEREKEBISHWA AKUTANA NA KERO “HAIJAWAHI KUTOKEA KAMA WEWE”

Chanzo: millardayo.com