Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Matthijs de Light anukia EPL

Matthijs De Light Beki wa Juventus, Matthijs de Light

Mon, 20 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakala wa Matthijs de Ligt, Mino Raiola amethibitisha kuwa mteja wake anatamani sana kuondoka Juventus na kupata changamoto mpya msimu ujao.

Juventus walimpata nyota huyo wa Uholanzi mwaka wa 2019, na tangu wakati huo ameichezea klabu hiyo mara 94 katika mashindano yote.

Wakala wa De Ligt amethibitisha kuwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 yuko tayari kwa hatua mpya, na akafichua kuwa huenda mpango kuelekea Ligi ya Premia uko kwenye ajenda.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live