Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Matola aondoka Simba Sc

Matola Shuleni Kocha Matola

Sun, 13 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Seleman Matola anaondoka Simba kwa muda akapige shule. Matola amepata fursa ya kwenda kusoma kozi ya leseni A ya CAF, ataanza Novemba 21 ambapo atasoma kwa wiki mbili, kisha atarejea kikosini hapo kwa kuyafanyia kazi kwa vitendo mafunzo aliyoyapata.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live