Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Matola: Tupo tayari kuwapa burudani Wanasimba

Fondoh Matolasfdg Matola: Tupo tayari kuwapa burudani Wanasimba

Wed, 24 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Selemani Matola, kocha msaidizi wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa mchezo wa Kombe la Muungano dhidi yaKVZ ambao unatarajiwa kuchezwa leo Aprili 24, Uwanja wa New Amaan Complex.

Matola amesema; "Tunatambua umuhimu wa mchezo wetu na wapinzaniwetu sio timu ya kubeza tupo tayari kupata matokeo mazuri,".

Mchezo huu ni nusu fainali kwa kuwa kuna timu nne ambapo KMKM itakuwa dhidi ya Azam FC, Aprili 25 2024.

Miongoni mwa nyota wa Simba waliopo Zanzibar ni pamoja na Pa Omary Jobe, Israel Mwenda, Ally Salim, Clatous Chama.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live