Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Matola: Stars inaweza kuifunga Congo

Matola2?fit=586%2C457&ssl=1 Selemani Matola

Mon, 22 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa mchezaji wa zamani wa Taifa Stars Selemani Matola amekiri kuwa Stars bado ina nafasi ya kufanya vyema katika michuano ya Afcon 2023 inayoendelea kutimua vumbi Ivory Coast.

‘’Bado kundi letu lipo wazi hivyo naamini katika mchezo wa mwisho dhidi DRC Congo iwapo wachezaji wakijituma basi tunapata matokeo’’amesema Matola.

Stars kwa sasa inaburuza mkia katika kundi F wakiwa na alama 1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live