Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Matokeo ya VAR Marekani yatangazwa kwa sauti

VAR USA Matokeo ya VAR Marekani yatangazwa kwa sauti

Wed, 8 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Marekani wameenda mbali kwenye teknolojia ya VAR (Video Assistant Referee) wameamua kuja na Mfumo wa utangazaji matokeo ya tukio lililoleta shida kuamua kawaida kwa sauti.

Linapotokea tukio lenye uhitaji msaada wa teknolojia na baada mwamuzi kupata uhakika kwenye marejeo ya picha (video) anawatangazia waliopo uwanjani na kwenye TV

Utaratibu huu ni tofauti na ule uliozoeleka ambapo kwenye ligi zingine linapotokea tukio linalohitaji VAR mwamuzi huwa anatumia filimbi na ishara kutoa tafsiri ya kilichooneka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live