Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mateu Lahoz aondolewa Kombe la Dunia

SOJHTLFHF6DGNDMHFOPTXHVDXQ Antonio Mateu Lahoz

Mon, 12 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwamuzi Mateu Lahoz ameondolewa katika mashindano ya Kombe la Dunia yanayoendelea nchini Qatar.

Katika mchezo wa mwisho aliochezesha kati ya Argentina na Uholanzi alitoa kadi za njano 15, nyingi zikilalamikiwa na wachezaji wa pande zote.

Lionel Messi ni miongoni mwa wachezaji waliozungumza wazi kutoridhishwa na maamuzi ya refa huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live