Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Matampi amfunika Diarra kwa clean sheets

Matampi Amfunika Diarra Kwa Clean Sheets.jpeg Matampi amfunika Diarra kwa clean sheets

Tue, 16 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hii ni orodha ya wale walinda milango ambao mpaka ufanikishe kuuweka mpira kwenye nyavu zao basi uwe umekula na umeshiba vilivyo. Hawa ni wale vinara wa “clean sheets” kwenye NBC PL msimu huu..

1. Ley Matampi- Coastal Union... 10 2. Djigui Diarra- Yanga SC...9 3. John Noble- Tabora Utd... 7 4. Constantine Malimi- Geita Gold...7 5. Jonathan Nahimana- Namungo FC...6 6. Yona Amos- Tanzania Prisons... 6 7. Ayoub Lakred- Simba SC... 5 8. Ramadhan Chalamanda- Kagera Sugar...5 9. Wilbol Maseke- KMC FC... 4

Hawa hapa magolikipa wanaowapa usiku mrefu washambuliaji wa ligi kuu ya NBC PL msimu huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live