Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Matajiri Man United waweka ngumu kuiuza Timu kwa Mwarabu

Sir Jim Ratcliffe Sir Jim Ratcliffe

Wed, 31 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakurugenzi wa kampuni ya Manchester United walikutana siku ya Alhamisi kujadili maendeleo ya mnada wao wa £5bn-plus.

Chanzo cha karibu na mnada huo kilisema wakurugenzi hao hawakuchagua kuingia kwenye mazungumzo ya kipekee na Sir Jim Ratcliffe au mpinzani wake mkuu, mfanyabiashara wa Qatar Sheikh Jassim bin Hamad al-Thani.

Chanzo hicho kilisema kuwa Sir Jim Ratcliffe anasalia kuwa mzabuni "anayeongoza" licha ya ofa zaidi, iliyoboreshwa na Sheikh Jassim kutoka Qatar- mapema mwezi huu.

Guys itoshe kusema Waingereza wanamtaka mwingereza mwenzao

Chanzo: www.tanzaniaweb.live