Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mataifa 10 Afrika, nafasi tano Kombe la Dunia

QATAR Mataifa 10 ya Afrika yamefuzu hatua ya mtoano

Wed, 17 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mataifa 10 ya Afrika yamefuzu kwa hatua ya mtoano kwa ajili ya kupata Mataifa matano yatakayoiwakilisha Afrika katika michuano ya Kombe la Dunia nchini Qatar 2022.

Timu hizo 10 zilizofuzu zitacheza mechi nyumbani na ugenini na mshindi wa jumla ndio atakaepita kupata timu tano zitakazokwenda Qatar.

Timu hizo 10 zilizofuzu ni pamoja na DR Congo, Mali,Nigeria, Tunisia, Algeria, Ghana, Cameroon, Morocco, Misri na Senegal.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live