Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Master Tindwa: Tusitegemee historia Simba kuifunga Al Ahly

Tindwa Master Master Tindwa: Tusitegemee historia Simba kuifunga Al Ahly

Tue, 10 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ushindani utakuwepo kwa sababu Simba inapokuwa kwenye mashindano ya kimataifa hawawi wanyonge! Lakini kwa mwendo wao wa msimu huu Kocha Robertinho anahitaji kufanya mabadiliko makubwa ili kuleta ushindani kwenye mchezo huo wa Oktoba 20, 2023.

Isitegemewe historia peke yake kwamba Simba imeshaifunga Al Haly mara mbili kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, mabadiliko lazima yaanzie kwenye benchi la ufundi na wachezaji kujituma uwanjani.

Al Ahly tulivyoiona na namna walivyonza Ligi ya mabingwa msimu huu pamoja na Ligi yao, bado naona Ahly ina nafasi kubwa ya kufanya vizuri dhidi ya Simba kwenye mchezo wa kwanza Oktoba 20, 2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live