Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mastaa wazidi kupukutika Chelsea

Pjimage 27 Mastaa wazidi kupukutika Chelsea

Thu, 22 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Siku chache tangu kufunguliwa kwa dirisha kubwa la usajili wa wachezaji Barani Ulaya.

Klabu ya Chelsea imewaonesha nyota wake wengi mlango wa kutokea ambao wameuzwa kwenda katika vilabu mbalimbali.

Mpaka sasa Chelsea wamewapoteza wafuatao;

N'golo Kante (Al Ittihad) Mateo Kovacic(Man City) Hakim Ziyech(Al Nassr) Edo Mendy (Al Ahli) Kalidou Koulibaly (Al Hilal) Kai Havertz (Arsenal) Mason Mount loading

Chanzo: www.tanzaniaweb.live