Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mastaa wazidi kumiminika kambi ya Taifa Stars

Novatus X Banda Stars Mastaa wazidi kumiminika kambi ya Taifa Stars

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa Tanzania wanaocheza nje ya nchi Novatus Miroshi, Abdi Banda na Morice Abraham wamewasili nchini kujiunga na kambi ya Taifa Stars inayojiandaa na michezo miwili ya kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Niger na Morocco.

Nyota wa Tanzania wanaocheza nje ya nchi Novatus Miroshi, Abdi Banda na Morice Abraham wamewasili nchini kujiunga na kambi ya Taifa Stars inayojiandaa na michezo miwili ya kufuzu Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Niger na Morocco. Hadi sasa tayari nyota wote 13 wanaocheza ligi za nje na waliitwa kwenye kikosi cha Stars wameshawasili nchini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live