Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mastaa washusha presha Real Madrid

GLc6lXSbYAAxWvm Mastaa washusha presha Real Madrid

Thu, 18 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Camavinga, Bellingham na Vinicius kadi zao za njano zote zimefutwa kuelekea nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya FC Bayern.

Camavinga, Bellingham na Vinicius kadi zao za njano zote zimefutwa kuelekea nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya FC Bayern. Isipokuwa Dani Carvajal ataukosa mchezo wa kwanza baada ya kupata kadi katika mchezo wa Robo Fainali jana Jumatano.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live