Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mastaa walioondoka na Tuzo mechi za mwisho EPL

Tuzooooooo.jpeg Mastaa walioondoka na Tuzo mechi za mwisho EPL

Mon, 20 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Washindi wa tuzo ya dhahabu ya Castrol wa Ligi Kuu England kwa msimu wa 2023/24.

Mshambuliaji wa Man City, Erling Haaland ameshinda kiatu cha dhahabu kwa kufunga magoli 27 kwenye Ligi Kuu England msimu huu.

Mshambuliaji wa Aston Villa ameshinda tuzo ya mchezeshaji bora wa Castrol (Castrol Golden playmaker) wa msimu baada ya kutoa pasi nyingi zaidi za magoli (13) msimu huu kwenye Ligi hiyo sambamba na kufunga magoli 19 ya Ligi.

Nyanda wa Arsenal, David Raya ameshinda tuzo ya golikipa bora wa msimu (Castrol Golden goalkeeper of the year) kwa kucheza mechi nyingi (16) bila kuruhusu bao (clean sheets) kwenye Ligi Kuu England msimu huu 2023/24.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live