Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mastaa waanza kuikimbia Mbeya City

Capture (600 X 421) Gasper Mwaipasi

Mon, 3 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Kagera Sugar imekamilisha usajili wa Gasper Mwaipasi kutoka klabu ya Mbeya City kwa mkataba wa miaka miwili.

Aidha Gasper Mwaipasi aliwahi kuitumikia klabu ya Tanzania Prisons.

Mbeya City imeshuka daraja msimu ulioisha na watacheza Championship msimu ujao 2023/24.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live