Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mastaa wa kuchungwa, Simba vs Al Ahly

Kikosi Ahly.jpeg Mastaa wa kuchungwa, Simba vs Al Ahly

Fri, 20 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Historia itaandikwa leo Ijumaa, Oktoba 20, 2023 katika Dimba la Mkapa kwenye ufunguzi wa michuano ya African Football League kati ya Simba SC dhidi ya Al Ahly ya Misri.

Ni michuano mipya kwa Afrika na hii ndiyo mara ya kwanza kufanyika kwenye bara hili na kwa bahati ya kipekee ni ndani ya ardhi Tanzania.

Jana, makocha wa timu zote mbili walihojiwa na kusema kuwa wamejiandaa kwa ajili ya kupata matokeo kwenye mchezo wa leo utakaopigwa majira ya saa 12:00 jioni.

Hii hapa ni orodha ya wachezaji wa Simba Sc na Al Ahly wanaopaswa kuchungwa kwenye mchezo huo wa ufunguzi wa African Football League.

Simba SC

⚽️Clotous Chama

⚽️Jean Baleke

⚽️Kibu Denis

⚽️Said Ntibanzokiza.

Al Alhy

⚽️Percy Tau

Taifa: Afrika kusini

Umri: 29yrs

NTafasi: Kiungo mshambuliaji / Winga

Takwimu msimu huu 2023/24 ; Mechi (2) Magoli (4).

⚽️Hussein El Shahat

Taifa: Misri

Umri: 31

Nafasi: kiungo mshambuliaji & Winga

Takwimu zake ligi ya mabingwa Afrika msimu 2022/23; Mechi (8) Magoli (4).

⚽️Kahraba

Taifa: Misri

Umri: 29

Nafasi: Mshambuliaji

Takwimu zake za ligi mabingwa Africa 2022/23; Mechi (10) Magoli (6) Assist (1).

⚽️Antony Modeste

Taifa: Ufaransa

Umri: 27

Nafasi: Mshambuliaji

Mchezaji wa zamani wa Borrusia Dortmund na FC Koln za nchini Ujerumani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live