Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mastaa Yanga wamfariji Dickson Ambundo kwa kufiwa na Baba yake

Mastaa Yanga Ambundo Mastaa Yanga wamfariji Dickson Ambundo kwa kufiwa na Baba yake

Sun, 8 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nahodha wa Yanga SC, Bakari Mwamnyeto na mchezaji Zawadi Mauya jana baada ya mechi walifika nyumbani kwa aliyekuwa mchezaji wa timu hiyo, Dickson Ambundo ambaye sasa anachezea Singida Big Stars kumfariji baada ya kufiwa na baba yake mzazi jijinj Mwanza.

Nahodha wa Yanga SC, Bakari Mwamnyeto na mchezaji Zawadi Mauya jana baada ya mechi walifika nyumbani kwa aliyekuwa mchezaji wa timu hiyo, Dickson Ambundo ambaye sasa anachezea Singida Big Stars kumfariji baada ya kufiwa na baba yake mzazi jijinj Mwanza. Tayari Kikosi cha Yanga kimeshatua Jijini Dar es Salaam kutokea Mwanza walipokuwa na mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Geita Gold.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: