Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mastaa Simba wote wapo fiti

Tshabalala Kibu Mastaa Simba wote wapo fiti

Mon, 12 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Simba SC kimefanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa CCM Kirumba kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Geita Gold.

Wachezaji wote wameshiriki mazoezi hayo na wapo kwenye hali nzuri tayari kwa mchezo wa leo.

Simba inategemea kupata upinzani mkubwa kutoka kwa Geita lakini hata hivyo wamejipanga kuhakikisha wanaondoka na alama zote tatu.

Hakuna mchezaji yoyote ambaye watamkosa katika mchezo wa kesho kutokana nakuwa majeruhi au kutumikia adhabu ya kadi hivyo wapo kamili kuivaa Geita leo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live