Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mastaa Man United warudi mdogo mdogo

Lisandro Martinez Is Back Mlinzi wa kati wa Manchester United Lisandro Martínez

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa kati wa Manchester United Lisandro Martínez ameanza mazoezi tayari kwa kuipambania timu yake.

Mpaka sasa nyota wawili tayari wameripotiwa kuanza mazoezi baada ya kutoka katika majeraha.

Nyota hao ni;

Casemiro

Lisandro Martínez

Leo Jumanne Man United ina kibarua mbele ya Bayern Munich mchezo wa hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live