Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mastaa Azam FC kupelekwa Sauzi kwa matibabu

Bajana X Malickou Wachezaji wetu wawili wa Azam FC, Sospeter Bajana na Malickou Ndoye

Thu, 15 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wachezaji wetu wawili wa Azam FC, Sospeter Bajana na Malickou Ndoye, wanatarajia kuondoka nchini Februari 20, mwaka huu, kuelekea jijini Cape Town, Afrika Kusini kwa ajili ya uchunguzi zaidi wa majeraha yao.

Wachezaji wetu wawili wa Azam FC, Sospeter Bajana na Malickou Ndoye, wanatarajia kuondoka nchini Februari 20, mwaka huu, kuelekea jijini Cape Town, Afrika Kusini kwa ajili ya uchunguzi zaidi wa majeraha yao. Wawili hao wanaosumbuliwa na majeraha kwenye nyonga, wakiwa jijini humo watatibiwa katika Hospitali ya Vincent Pallotti.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live