Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mastaa 6 Azam FC waitwa Timu za taifa

Fei Totoooo Mastaa 6 Azam FC waitwa Timu za taifa

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wanajeshi sita ndani ya kikosi cha Azam FC wameitwa kwenye timu zao za taifa.

Kwa sasa Ligi Kuu Bara ipo kwenye mapumziko kupisha mashindano ya kimataifa ambapo timu zitakuwa kwenye mechi za kufuzu Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2026.

Mastaa hao walioitwa kwenye timu za taifa ni wanne wapo kambini timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars;

Lusajo Mwaikenda

Feisal Salum

Abdul Suleiman, (Sopu)

Edward Manyama

Sospeter Bajana

Prince Dube - Zimbabwe

Chanzo: www.tanzaniaweb.live