Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mason Mount nje kwa majeraha

Mount Mason 2023 2024 Manchester United 1033525869hjpg 1695738957 117757 Kiungo wa Manchester United, Mason Mount

Thu, 29 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Manchester United, Mason Mount atakuwa nje ya uwanja kwa wiki kadhaa baada ya kupata jeraha la msuli kwenye mchezo uliopita dhidi ya Brighton ambapo Mashetani hao Wekundu walipoteza 2-1.

Akithibitisha hilo Mount ameoneshwa kukerwa na hali hiyo ya kuwa nje kwa majeraha huku akiwatoa wasiwasi mashabiki wake kuwa atafanya kila liwezekanalo kurejea katika hali bora na kuisaidia timu.

“Wakati wa mchezo uliopita nilipata tatizo dogo la misuli. Nitakuwa nje kwa michezo michache. Nilifanya kazi kwa bidii ili kurudisha utimamu wangu mahali panapohitajika, nilijihisi imara na tayari” — Amesema Mount.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live