Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mason Mount kufanyiwa vipimo vya afya leo

Ten Hag Need Mason Mount.jpeg Mason Mount kufanyiwa vipimo vya afya leo

Mon, 3 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mason Mount atafanyiwa vipimo vya afya leo Julai 3 na hatimaye atasaini mkataba wa miaka mitano kama mchezaji mpya wa Manchester United.

Mkataba wake ni hadi Juni 2028 lakini pia utajumuisha chaguo la kurefushwa hadi Juni 2029.

Mount amejiunga na Man United akitokea Chelsea ambao wamefanya usajili mkubwa katika eneo lao la kiungo.

Je shabiki wa Man United umridhika na usajili huu wa Man United kumleta Mason Mount?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live