Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashujaa wapokea kichapo cha kwanza Ligi Kuu

Mashujaa Vs Kagera.jpeg Mashujaa wapokea kichapo cha kwanza Ligi Kuu

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bao pekee la mshambuliaji Edward Songo dakika ya 80 limeipa JKT Tanzania ushindi wa 1-0 dhidi ya Mashujaa FC ya Kigoma katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC leo Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga.

Bao pekee la mshambuliaji Edward Songo dakika ya 80 limeipa JKT Tanzania ushindi wa 1-0 dhidi ya Mashujaa FC ya Kigoma katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC leo Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga. Ushindi huo unaifanya JKT Tanzania ifikishe pointi saba, wakati Mashujaa inabaki na pointi zake nane baada ya wote kucheza mechi tano.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: