Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashujaa waichapa Kagera Sugar Lake Tanganyika

Mashujaa Vs Kagera.jpeg Mashujaa waichapa Kagera Sugar Lake Tanganyika

Wed, 16 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wenyeji, Mashujaa FC wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.

Wenyeji, Mashujaa FC wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma. Mabao ya Mashujaa FC iliyopanda Ligi Kuu msimu huu yamefungwa na Adam Adam dakika ya 15 na Othman Dunia dakika ya 73 wakifuata nyayo za JKT Tanzania iliyopanda pia msimu na kuanza na ushindi wa 1-0 jana ya wenyeji, Namungo FC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: