Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashujaa Vs JKT hapatoshi leo

Mashujaa Vs JKT Hapatoshi Leo Mashujaa Vs JKT hapatoshi leo

Wed, 6 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Leo kwenye NBC Premier League ni 'vita' ya majeshi, Mashujaa FC watakuwa katika dimba lao la Lake Tanganyika kucheza dhidi ya JKT Tanzania, mchezo huu pia utaamua nani achomoke kwenye mstari wa playoffs wa msimamo wa ligi.

Mchezo wa mkondo wa kwanza Mashujaa walipata kichapo cha 1-0 dhidi ya JKT Tanzania.

Je leo watalipa kisasi? Mbungi hii itachezwa saa 10:00 jioni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live