Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashtaka yanayowakabili Man City na adhabu zake

Man City Pic Mashtaka yanayowakabili Man City na adhabu zake

Mon, 13 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

MASHTAKA YANAYOIKABILI MAN CITY

Kukiuka zaidi ya sheria 100 za matumizi ya pesa kwa misimu tisa (2009-2018).

Kushindwa kutoa ushirikiano wakati wa uchunguzi (2018/19 2022/23).

Kuzidisha mapato ya wadhamini na kuficha ukweli wa vyanzo vya mapato.

Kumlipa kocha Roberto Mancini pesa zaidi kwenye mkataba wa siri.

Kushindwa kutoa taarifa halisi kuhusu mishahara ya wachezaji.

Kuvunja sheria za faida na uendelevu za Ligi Kuu England.

Kushindwa kuendana na taratibu za mapato na matumizi ya UEFA.

ADHABU WANAYOWEZA KUKUMBANA NAYO MAN CITY

Kuondolewa kwenye Ligi Kuu England.

Kupokonywa pointi.

Kufungiwa usajili wa wachezaji.

Kuwekewa ukomo wa matumizi ya pesa.

Kuvuliwa ubingwa wa mataji waliyobeba. Machester City imebeba ubingwa wa Ligi Kuu England mara sita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live