Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashine 25 za Yanga zilizopelekwa Mapinduzi Cup

Yanga Magoli.jpeg Yanga wakipasha misuli

Tue, 3 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Orodha ya Wachezaji wa 25 wa Kikosi cha Young Africans wakiongozwa na Kocha Msaidizi Cerdic Kaze waliosafiri kuelekea Zanzibar, kwaajili ya Kombe la Mapinduzi.

1:Erick Johora (Golikipa) 2:Hajji Mohamed Abassi (Golikipa )U20 3:Jacob Timothy Ipwaya (Golikipa) 4:Bakari Nondo 5:Ibrahim Abdullah “Bacca” 6:Abdallah Shaibu “Ninja” 7:David Bryson 8:Maulid Kiakala (U20) 9:Ally Said Mohamed (U20) 10:Mohamed Omary (U20)

Wengine ni 11:Zawadi Mauya 12:Farid Mussa 13:Gael Bigirimana 14:Arafat Hussein (U20) 15:Ahmed Fred Dennis (U20) 16:Crispin Ngushi 17:Maulid Tamila (U20) 18:Yacouba Sogne 19:Dickson Ambundo 20:Clement Mzize

Wengine ni 21:Lazarus Kambole 22:Nasri Ally Daud (U20) 23:Raymond Ntaudyimara (U20) 24:Daruwesh Rashid Ahmed (U20) 25:Shaibu Shaibu Mtita (U20)

Yanga vs Singida Big Stars FC, Yanga vs Singida Big Stars Football Club, Yanga vs Singida Big Stars, Yanga vs KMKM, Yanga SC vs KMKM, Yanga Sports Club SC vs KMKM FC.

Yanga wanatarajiwa kushuka dimbani Jumatano ya January 04, 2023 kucheza mchezo wa kwanza dhidi ya KMKM saa 2:15 Usiku kwenye Uwanja wa Amaan Mjini Unguja Visiwani humo.

Na mchezo wa pili utakuwa dhidi ya Singida Big Stars ukitarajiwa kupigwa January 06, 2023 saa 2:15 Usiku kwenye Uwanja huo huo wa Amaan Mjini Unguja Visiwani humo.

Baada ya kukamilika kwa Makundi itafuata michezo Nusu Fainali ambapo Nusu Fainali ya kwanza itazikutanisha Kinara wa Kundi A dhidi ya kinara wa Kundi B, January 08, 2023 kuanzia saa 2:15 Usiku.

Nusu Fainali ya pili itakuwa kati ya kinara wa Kundi C dhidi ya kinara wa Kundi D, January 09, 2023 kuanzia saa 2:15 Usiku. Na mchezo wa Fainali utapigwa January 13, 2023 kuanzia saa 2:15 Usiku.

Michezo yote hiyo itapigwa kwenye Uwanja wa Amaan, Mjini Unguja Visiwani Zanzibar.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live