Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Masharti Kocha mpya Chelsea sio mchezo

Todd Boehly Pochettino Masharti Kocha mpya Chelsea sio mchezo

Wed, 22 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Chelsea imeweka sharti kwa kocha wao mpya lazima awapeleke kwenye Fainali za UEFA Champions League msimu wa 2025-2026 kama itashindikana atakuwa kajifukuzisha kazi.

Kwa sasa Chelsea inasaka Kocha mpya baada ya kuachana na Mauricio Pochettino Mei 21 mwaka huu.

Msimu Ujao Chelsea itashiriki Michuano ya Uropa Conference baada ya kumaliza nafasi ya 6 katika msimamo wa EPL.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live