Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashabiki warusha gari Uwanjani wakipinga Ligi kuuzwa

Skysports Bundesliga Hamburg 6459661 Mashabiki warusha gari Uwanjani wakipinga Ligi kuuzwa

Sun, 18 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mashabiki wa soka nchini Ujerumani walirusha uwanjani gari ndogo zinazotumia rimote kwenye mchezo wa Ligi daraja la pili nchini Ujerumani kati ya Hansa Rostock dhidi ya Hamburg.

Mashabiki wa soka nchini Ujerumani walirusha uwanjani gari ndogo zinazotumia rimote kwenye mchezo wa Ligi daraja la pili nchini Ujerumani kati ya Hansa Rostock dhidi ya Hamburg. Lengo la kurusha gari hizo ni kuipinga Ligi ya mpira wa miguu ya Ujerumani [DFL] kufanya uuzaji wa hisa kwa mwekezaji Binafsi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live