Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashabiki wamtaka Alonso Liverpool

Xabi Alonso .jpeg Mashabiki wamtaka Alonso Liverpool

Sun, 11 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya ‘kocha’ Xabi Alonso kuiwezesha ‘klabu’ ya Bayer Leverkusen kuifunga ‘timu’ ya Bayern Munich, mabao 3-0, jana Jumamosi kwenye ‘Bundesliga’, mashabiki wa ‘klabu’ ya Liverpool wameweka wazi kuwa wanahitaji kuona ‘kocha’ huyo anachukua nafasi ya Jurgen Klopp ambaye ataondoka mwisho wa msimu huu ‘klabuni’ hapo.

Alonso ambaye kwa sasa anaifundisha Leverkusen ameiwezesha ‘timu’ hiyo kukaa kwenye kilele cha ligi ya Ulaya ‘Bundesliga’ ikiwa na pointi 55 mbele ya Munich yenye pointi 50.

Kupitia kupitia ukurasa wa X mashabiki wa #Liverpool wametoa maoni yao ya kumtaka Alonso baada ya ukurasa huo ku-share video iliyokuwa ikimuonyesha anashangilia ushindi huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live