Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashabiki wamjia juu Andre Onana

Andre Onana Sad Mashabiki wamjia juu Andre Onana

Thu, 30 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baadhi ya mashabiki wa Manchester United wamemjia juu golikipa, Andre Onana wakidai ndio chanzo cha kutoka sare 3-3 katika mechi ya UEFA dhidi ya Galatasaray.

Katika mitandao ya kijamii mashabiki hao wamedai Onana hakuwa mchezoni na kuruhusu mabao mepesi ambayo angekuwa makini yasingeingia huku wengine wakisema ni siku mbaya mchezoni.

Yapi maoni yako kwa kiwango chake jana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live