Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashabiki wamhofia Mayele

Mayele Hat  Trick Mashabiki wamhofia Mayele

Tue, 18 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baadhi ya mashabiki wa timu ya Club Africain ya Tunisia wameonesha hofa yao kwa Mshambuliaji Fiston Mayele baada ya timu hiyo kupangwa kucheza na Yanga katika mchezo wa mtoano wa kutafuta timu zitakazoingia hatua ya makundi Kombe la Shirikisho barani Afrika.

Baadhi ya mashabiki wa timu ya Club Africain ya Tunisia wameonesha hofa yao kwa Mshambuliaji Fiston Mayele baada ya timu hiyo kupangwa kucheza na Yanga katika mchezo wa mtoano wa kutafuta timu zitakazoingia hatua ya makundi Kombe la Shirikisho barani Afrika. Kupitia maoni (comment) katika ukurasa wa timu hiyo baadhi ya mashabiki wameonesha hofu yao kwa mshambuliaji Fiston Mayele kuwa ni mchezaji hatari na wa kuchugwa sana katika mchezo wao wa kwanza utakaopigwa Novemba 2, kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live