Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashabiki wa United walalamikia jezi ya Rasmus sokoni

Rasmus Hojlund Miss Straika wa Man United, Rasmus Hojlund

Mon, 11 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mashabiki wa klabu ya Manchester United wameilalamikia klabu hiyo kwa kushindwa kuiweka sokoni jezi ya mshambuliaji wao nyota Rasmus Højland aliyesajiliwa katika dirisha lililopita.

Mashabiki wa klabu ya Manchester United wameilalamikia klabu hiyo kwa kushindwa kuiweka sokoni jezi ya mshambuliaji wao nyota Rasmus Højland aliyesajiliwa katika dirisha lililopita. Manchester United inahangaika kutafuta herufi maalumu kutoka Denmark ambayo itakaa kwenye jina lake na ndio sababu ya kutoiweka sokoni Jezi hiyo kwa takribani mwezi sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live