Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashabiki wa Lazio watoa nyimbo za kibaguzi kwa mchezaji wa Zambia

Mashabiki Wa Lazio Watoa Nyimbo Za Kibaguzi Kwa Mchezaji Wa Zambia.png Mashabiki wa Lazio watoa nyimbo za kibaguzi kwa mchezaji wa Zambia

Thu, 5 Jan 2023 Chanzo: Bbc

Mwanasoka wa Zambia Lameck Banda na mchezaji mwenzake wa Lecce Samuel Umtiti walinyanyaswa kwa ubaguzi wa rangi walipowatembelea mashabiki wa Lazio katika mchezo wa Serie A ya Italia Jumatano.

Mwamuzi alisimamisha mchezo katika kipindi cha pili kwa sababu ya dhihaka za kibaguzi, shirika la habari la AFP linaripoti.

Umtiti mchezazaji wa kimataifa wa Ufaransa ndiye alikuwa mlengwa mkuu wa unyanyasaji huo. Lecce, ambaye ilishinda 2-1, baadaye iliwasifu mashabiki wao kwa kujibu unyanyasaji huo kwa kuimba jina la Umtiti. "Nyimbo za kibaguzi zilizamishwa na zile za kutia moyo," kilabu kilisema kwenye ukurasa wao wa twitter.

Chanzo: Bbc