Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashabiki tulieni, tunaipeleka Simba nusu fainali

Onana App 1024x733 Mashabiki tulieni, tunaipeleka Simba nusu fainali

Tue, 26 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa klabu ya Simba Andre Onana amewataka mashabiki kutulia na kuwaahidi kuwa wao wachezaji wataipeleka timu fainali ya Ligi ya mabingwa Afrika.

Nyota wa klabu ya Simba Andre Onana amewataka mashabiki kutulia na kuwaahidi kuwa wao wachezaji wataipeleka timu fainali ya Ligi ya mabingwa Afrika. “Acha waongee nyie tulieni, tunaipeleka timu fainali, Nusu fainali ni njia ambayo lazima tupite,“ amesema Essomba Onana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live