Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashabiki timu ya Sadio Kanoute wachoma moto uwanja

Kanoute Ghs Mashabiki timu ya Sadio Kanoute wachoma moto uwanja

Sat, 18 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mashabiki wa Klabu ya zamani ya Sadio Kanoute (Putin), Al-Ahly Benghazi wamechoma moto uwanja wa Tobruk (pichani) kwa nia ya kupinga kipigo walichopokea katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Libya kutoka kwa Al-Akhdar.

Mashabiki wa Klabu ya zamani ya Sadio Kanoute (Putin), Al-Ahly Benghazi wamechoma moto uwanja wa Tobruk (pichani) kwa nia ya kupinga kipigo walichopokea katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Libya kutoka kwa Al-Akhdar. Timu hiyo ilipotezwa kwa mikwaju ya penati na ndio chanzo cha kuleta fujo hizo mpaka kuuwasha uwanja moto huku wengi wao pia wakiitaka bodi ya wakurugenzi wa timu hiyo kujiuzulu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live