Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashabiki Yanga wadai ushindi wa 1-0 ni mtego wa Azam

Yangasc 1710484422887.jpeg Mashabiki Yanga wadai ushindi wa 1-0 ni mtego wa Azam

Fri, 15 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ushindi wa bao 1-0 kwa Yanga dhidi ya Geita Gold umewagawa mashabiki waliojitokeza kuishuhudia mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa jana Machi 14, 2024 katika uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es Saalam.

Baadhi yao wamesema kuwa ushindi huo ni mtego kwa Azam FC ili aingie kwenye mfumo waweze kuibuka na ushindi na kuendelea kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara.

Yapi maoni yako kuhusu kauli ya mashabiki hao? Mchezo wa Azam vs Yanga utachezwa Machi 17, 2024 katika Uwanja wa Benjamini Mkapa saa 2:15 usiku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live