Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mashabiki Singida FG kusafirishwa bure

Mashabiki Sigida FG .jpeg Mashabiki Singida FG kusafirishwa bure

Wed, 16 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Singida Fountain Gate imetangaza kuwasafirisha mashabiki wao waliopo Singida hadi Dar es salaam ili kushuhudia mchezo wao wa kwanza wa Kombe la shirikisho Barani Afrika dhidi ya JKU ya Zanzibar.

Klabu ya Singida Fountain Gate imetangaza kuwasafirisha mashabiki wao waliopo Singida hadi Dar es salaam ili kushuhudia mchezo wao wa kwanza wa Kombe la shirikisho Barani Afrika dhidi ya JKU ya Zanzibar. Singida itacheza mchezo wake wa kwanza wa kimataifa Ijumaa hii saa 1:30 Jioni katika uwanja wa Azam Complex Chamazi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live